Pages

Saturday, August 25, 2012

AIBU: WANAFUNZI ACHENI ULIMBUKENI WA KUPIGA PICHA CHAFU..... ACHENI KUIGA MTAPOTEA [shame] MBEZI BEACH HIGH SCHOOL


Wakati  mwingine nikifikiria  huwa  naumia sana.Siku  zote najiuliza  ni kitu gani kimetufikisha hapa tulipo? Ni  tamaa, ulimbukeni au  ndo umaskini unatutesa?.

Najaribu kuangalia mbali  lakini sioni tumaini  lolote.  Naona tumetandwa na giza nene na hatujui nini cha kufanya.....

Kama utakumbuka, tumewahi kuripoti  juu ya sakata la  POLISI WA KIKE KUPIGA PICHA AKIWA UCHI.  

Hatukuishia hapo, tuli ripoti tena juu ya sakata la KIGOGO  WA SERIKALI (MKE WA MTU ) KUFUMWA GESTI NA MUME  WA MTU........
 Nakumbuka  pia tumewahi kuripoti juu ya sakata la MZEE MMOJA ALIYEFUMWA  GESTI NA MWANAFUNZI....

Bado tuliendelea kuripoti  juu ya sakata la  WANAFUNZI WA CHUO KIKUU  WALIOJIREKODI WAKIFANYA UCHAFU   NA WENGINE AMBAO WALIAMUA KUJIUZA......

Kama haitoshi, bado tuliendelea kuripoti juu ya UCHAFU  MBALI  MBALI  WA WASANII WA HAPA NCHINI  ambao wamekuwa  wakipiga picha chafu na kuziachia   mitandaoni..

Leo hii hadi wanafunzi wa sekondari nao wameiga???.....Nani alaumiwe? Askari ambaye pengine  anajukumu la kulinda sheria naye anapiga picha chafu.

Mzazi ambaye ni mlezi  anaamua kutembea na mwanafunzi,tena wa kidato cha pili........

Ndugu zangu, japo ni mambo ya kawaida kwa wengine, lakini ukweli ni kwamba hali  inatisha sasa. Hali ni mbaya jamani.

Huyu   ni mwanafunzi ambaye ni nguvu kazi ya taifa. Hili  ni taifa gani tunaloliandaa?.....

Unamaoni  gani  msomaji wetu   ambayo pengine yatasaidia  kurejesha heshima yetu?

4 comments:

 1. kawaida sana kwa madent, ila wengi si ridhaa zao bali boyfriends huwapiga kwa siri then wanajisahau wanarelease out to friendS!!!

  ReplyDelete
 2. Hakuna uthibitisho kuwa picha kama hii ni ya ngono. inawezekana katika mazingira fulani mtu amemvizia mwenzie akiwa ndani anajiandaa (anabadili nguo) akampiga picha na kukimbia kuziposti. Hata mtoa mada hajaweka wazi ni kwa vipi alizipata picha hizi. kumekuwepo na tabia pia ya kupost picha za namna hii bila ridhaa ya mwenyewe ama bila hata kujua ukweli kuwa picha hizo zimepatikana katika mazingira gani. Kwa mfano kwa wanafunzi wanaoishi chumba kimoja ni rahisi kama mmetofautiana na mwenzio kukupiga picha bila wewe mwenyewe kujua na kuzisambaza katika media. kwa hivyo kwangu sijashawishika kuamini kuwa aliyepiga picha hizi ni mhusika mwenyewe kwa sababu anaoenekana kama hajui kinachoendelea.

  ReplyDelete
 3. wengi hupiga pcha hizo kama sehem ya michezo ya kitoto/kident,but zikifika mikononi mwa watukutu kwa bahat mbaya huzianika hadharan.
  mimi ni mvulana lakini niliwahi kupata mkasa huu nikiwa meta high school,alipga pcha nikiwa in my privacy bila mimi kujua,then akaweka mtandaoni.kumbe jamaa alihisi natoka na dem fulani ambae alikuwa ni dada ake.
  nilipata shida sana kwa wazazi na shule,ingawa baadae ikaja kujlikana baada ya jamaa kuja nitaka radhi na kuwa yeye ndo alifanya hiyo kazi,
  kiukweli nilimtesa sana maana nlipeleka kesi mahakaman,alikoma.

  ReplyDelete
 4. Inna lillah wainalillah rajuhun!

  ReplyDelete

Total Pageviews

NeoCounter